NEWS:MAKONDA ANENA WALIMU KUSAFIRI BURE

0 comments
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.

Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa Rais mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa ana majukumu mengi hasa ya kumsaidia mheshimiwa Rais.

Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.

Read More »

NEWS:HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2015

0 comments

 
Toa Maoni Hapa Chini

Read More »

TAZAMA HAPA MATOKEO YA FORM 2 2015/16

0 comments

Matokeo FTNA 2015

Bofya hapa kuangalia

Read More »

magazeti ya leo jumatatu tarehe 11/1/2016

0 comments

Read More »

magazeti ya leo jumapili january tarehe 10/1/2016

0 comments



Read More »

MAJINA YA WANAOHITAJIKA KWENYE USAILI TBS HAYA HAPA

0 comments




Read More »

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 9.1.2016

0 comments
























Read More »