WAZIRI MKUU MH.MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI MAKONTEZA ZAIDI YA 2000 HAYAJALIPA KODI

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandarini na shirika la http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=308888&d=1449148891 
reli Tanzania(TRL). Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya awali meneja wa bandari alimuhakikishia kuwa mfumo hauruhusu kontena kuibiwa lakini waziri mkuu alienda na ripoti ya ukaguzi na kumuonyesha majina ya waliopitisha makontena zaidi 2431 bila kulipiwa kodi.
Amempa muda wa masaa matatu hadi saa kumi na mbili jioni aambiwe hatua zilizochukuliwa kwa wahusika kwa sababu anawafahamu.

Katika hatua nyingine, Waziri mkuu alitembelea shirika la reli na kukuta mabilioni yametumika na miradi iliyokusudiwa haijatekelezwa.

0 comments: